Baba
yake Lulu ameongea na E-newz na kutufahamisha bado hajapokea mahari ya
mwanae na yupo tayari kupokea mahari, hivyo E-news imeamua kuutoa ujumbe
huu wa baba Lulu.
Huku wengi wakidhani kuwa ujumbe huo unaweza kumfikia mtu mzima Majey ambaye kwa sasa wapo kwenye mahusiano na Lulu.
Baba Mzazi wa Lulu Yupo Tayari Kupokea Mahari
Rating: 4.5
Diposkan Oleh: Admin