Wajumbe mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 33 Ni Mwajiriwa wa Serikali, nimeoa na nina mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 3.
Licha ya kwamba niko kwenye ndoa, lakini ilitokea siku moja asubuhi
nikiwa barabarani na gari langu nikitokea nyumbani kwangu Mitaa ya
Kihonda Magorofani nikielekea kazini Morogoro mjini.Nilikutana na
Mwanafunzi kavaa sare za shule na alikuwa akielekea shuleni
nae.Nilisimamisha gari na kumuuliza kama anaenda shuleni maana baada ya
kuona sare alizovaa niliweza kutambua ni shule gani anasoma.Baada ya
kumuuliza kama anaenda shule aliitikia kwamba anaenda shuleni, nilitoa
Lock ya Milango ya gari nikamwambia apande nimsogeze kidogo.
Cha kushangaza niliona akifungua mlango wa mbele na kuingia maana nilikuwa peke yangu.Niliondoa gari tayari kuendelea na safari,tukiwa njiani niliweza kumuuliza jina lake, wazazi wake kadharika tulipeana hadi namba za simu.
Baada ya siku mbili alinitumia msg iliyosomeka hivi."Shikamoo,
Habari ya kazi?Nimeona sio vizuri kukaa kimya wakati juzi ulinisaidia
nikawahi shuleni.Jioni Njema na karibu nyumbani." Bahati mbaya
hiyo msg sikuweza kuijibu maana nilikuwa niko na wife na zaidi niliifuta
baada ya kuisoma.Baadae nilitafuta nafasi nikampigia kumjulisha msg
yake nimeipata akadai amefurahi sana kusikia sauti yangu.Na mimi kama
mwanaume nikamuomba atafute muda japo siku moja tukutane tena
tuongee.Alikubali na kuniahidi nimtafute siku za Ijumaa jioni, Juma mosi
na jumapili maana hizo siku anakuwa free.
Ilipofika Ijumaa nilimtafuta tukaenda Hotel moja nje kidogo ya Mji
tukaongea sana na ikafikia hata mimi nikamwambia namtaka, alionekana
mpole na akakubali ombi hilo pia akaomba tukutane siku inayofuatia
ambayo ni Juma Mosi.Tuliingia kwenye gari nikamuacha jirani na nyumbani
kwao na mimi nikarudi kwangu
Jumamosi mida ya saa 8 alinibeep nikampigia then nikamwambia ajiandae
ndani ya nusu saa nitampitia. Time ilipofika nilimpitia sehemu
tuliokubaliana tukaelekea sehemu husika, huko huko ndio tulipeana
mapenzi(Nilimgegeda effectively). Baada ya siku hiyo kugegeda ikawa
Continuously.
Ila shida imekuja sasa huyu binti anadai nimpeleke nyumbani kwangu ili
nikamtambulishe kwa Mke wangu ili wafahamiane. Nimejaribu kumshauri
kwamba yeye bado ni mwanafunzi hivo atulie kwanza amalize masomo yake
lakini hanielewi
Anadai kila siku asubuhi niwe nampeleka shuleni na jioni kumrudisha kwa
gari langu.Hilo nalo nikamshauri kwamba isiwe kila siku ila pale
tukapoona inafaa bado haelewi.
Nimemkataza kunipigia simu au kutuma msg hasa mida ya usiku maana mke wangu atanielewa vibaya hilo nalo haelewi
Amechukua namba ya simu ya mke wangu kwenye simu yangu bila mimi kujua
na kumpigia simu mke wangu nae akiwa kazini kwake akimtaarifu kuwa yeye
ni mke mwenzie na baadae kurusha msg kibao akidai huo ni utambulisho
tosha.Kwa ujumla siku hiyo hayo yote yalipotendeka mimi na mke wangu
hatukulala kwa amani kabisa,Wife alilia karibu akataka kukesha.
Nilimfuata yule Binti nikamuonya vikali nusura kuchapa makofu na
nikamwambia simuhitaji tena ila yeye kakomaa kwamba kama nataka kumpiga
sababu ya mke wangu basi na nikimuacha anajiua na kuacha ujumbe.Ameenda
mbali kuniambia kwamba nimemuharibia akili zake maana toka nifanye nae
mapenzi hana hamu kabisa ya kusoma au kwenda shuleni.
Wakuu nifanye hapo, Kuna hatari mbili ambazo ni:
1. Ndoa kuvunjika (Wakati tayari tuna mtoto)
2. Kwenda Jera (ukizingatia huyu ni Mwanafunzi)
Naomba mchango wenu