Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali Mstaafu Salum
Mustafa Kijuu kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Hafla hiyo fupi ya
kuwaapisha Wakuu hao wa Mikoa imefanyika leo Ikulu,jijini Dar na
kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali Mstaafu Raphael Mugoya Muhuga kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Zelote Steven Zelote kuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Mh. Anne Kilango Malecela kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Elias Kyunga kuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali Mstaafu Emmanuel Edward Maganga kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.
Wakuu
wa Mikoa wakitia Saini hati kiapo cha Maadili ya viongozi wa Umma leo
mara baada kuapishwa Ikulu jijini Dar na Rais Dkt John Pombe Magufuli.
PICHA NA IKULU