Mchora katuni maarufu nchini Masoud Kipanya ametoa mchoro ambao
unaonyesha Basi lenye rangi kama zile za CHADEMA likiwa njiani kuelekea
2020. "point" ya msingi katika katuni hii ni jinsi Kipanya alivyoonesha
2020 kuwa ni MLIMA MKUBWA NA PENGINE USIOPANGIKA KWA CHADEMA. Je huu ni
utabiri wa anguko lingine la upinzani 2020