Diamond Platnumz akitoa burudani kwa wapenzi wake wa Las Vegas, Marekani
walivyojitokeza kwa wingi kupata burudani pande za #Hardrockcafe.
Dj D Ommy akiwapagawawisha wakazi wa Las Vegas, Marekani kwenye shoo kali akiwa na Diamond Platnumz pande za #Hardrockcafe.
Picha: Diamond na Dj D Ommy waangusha bonge la burudani Las Vegas, Marekani
Rating: 4.5
Diposkan Oleh:
Admin