Hamisa Achoshwa na Uongo, Amuweka Kitimoto Zuhura


Kama ni mtumiaji mzuri wa mitandao ya kijamii utakuwa unafahamu kuhus kinachoendelea kati ya walimbwende hao, na hatimaye Hamisa kuamua kufunguka ya moyoni na kumchana aliyekuwa shoga yake Zuhura Gora. Hamisa ameandika ujumbe ambao umekwenda na sauti ya mahojiano kati yake na Zuhura, akisema amechoshwa na masimango ya watu kuhusu kuachana na baba mtoto wake, ambaye inasemekana alikuwa na mahusiano na Zuhura pia.

 Kulingana na ujumbe ambao Hamisa ameuweka inaonyesha mwanadada huyo ndiye alikuwa kuwadi wa kumuomba namba yake na kumpa baba mtoto wake.

 “Good thing wakati ndo naanzana tu na baba mtoto nilikupigia simu zuhura na kurecord conversation ili nimtumie baba mtoto na nilikua nimeisave nilijua siku tu yatatokea haya, Zuhura Gora you like a baby sis kwangu and a friend also, never in my life time have I nyakua mwanaume wa mtu either ameoa or not..,, so to set the record straight nilimkuta single hana mwanamke yoyote na sikumtafuta mimi, alinitongoza for almost miaka minne you can ask him, na the first time ananiona Zuhura ndo ulikuja nambia kwamba anaomba number yako wewe na mfanyakazi wake, kama alikua mwanaume wako ulikua na guts za kuchochea utongozaji mama ? “, aliandika Hamisa Mobeto. Hivi karibuni Hamisa ameachana na mwanaume ambaye amezaa naye na tetesi zilizopo ni kwamba mwanaume huyo ana mahusiano na msanii wa kike Elizabeth Michael (Lulu)

Hamisa Achoshwa na Uongo, Amuweka Kitimoto Zuhura Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Admin