Nuhu Mziwanda na Shilole wachafua hali ya hewa Instagram.


LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,
 je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??
Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema
“I’m just hold it tight, my favorite thing on her boy”
 Kwanza kabisa kingereza kibovu,  pili picha chafuuu machoni kwa watoto wadogo mtandaoni, why? Why? Why?
Nini maoni yako mdau juu ya picha kama hizi toka kwa wasanii ambao ndio kioo cha jamii?
Nuhu Mziwanda na Shilole wachafua hali ya hewa Instagram. Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Blog Admin