Kamatakamata wanawake wanaojiuza maeneo ya Sinza

Mgambo wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata Madada wanaofanya biashara ya kuuza miili yao wajulikanao kama Machangudoa katika eneo la Sinza.

Picha mbalimbali zikionyesha namna walivyokuwa wakipakiwa ndani ya Gari tayari kwa kupelekwa katika vyombo vya sheria
Changudoa akipanda kwenye gari 
Hapa akifanya vituko asikamatwe


Hapa wanaondoka nao
Kamatakamata wanawake wanaojiuza maeneo ya Sinza Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Admin