Video: Mtoto Wa Shilole Aonyesha Uwezo Mkubwa wa Kuimba

Mtoto wa msanii wa bongo movies na bongo fleva, Shilole aonyesha uwezo mkubwa wa kuimba kitendo ambacho kimemshagaza hadi shilole mwenyewe.

"Sikuwahi kujua kama mwanangu anajua kuimba leo kanisuprise"-Shilole alemadika kwenye ukurasa wake mtandaoni.
Video: Mtoto Wa Shilole Aonyesha Uwezo Mkubwa wa Kuimba Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Admin