PAMBANO LA NGUMI KATI YA JACK WOLPER NA HALIMA MDEE

NI SIASA VS BONGO MOVIE


SHINDANO LIMEISHA KWA KUTOKA DROO


JACKLINE WOLPER ULINGONI
Mh. Nassari na mashabiki wengine wa Mh. Mdee wakiwa wamembeba bondia wao
Ni katika tamasha la matumaini 2013 Jackline Wolper na Halima Mdee walizipiga. Hata hivyo hapakupatikana mshindi baada ya kutoka Droo
PAMBANO LA NGUMI KATI YA JACK WOLPER NA HALIMA MDEE Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Mpekuzi Huru