Picha: Diamond na Dj D Ommy waangusha bonge la burudani Las Vegas, Marekani


Diamond Platnumz akitoa burudani kwa wapenzi wake wa Las Vegas, Marekani walivyojitokeza kwa wingi kupata burudani pande za #Hardrockcafe.
 Dj D Ommy akiwapagawawisha wakazi wa Las Vegas, Marekani kwenye shoo kali akiwa na Diamond Platnumz pande za #Hardrockcafe.
Picha: Diamond na Dj D Ommy waangusha bonge la burudani Las Vegas, Marekani Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Admin