Masoud Kipanya Atabiri Hali Mbaya kwa CHADEMA

Mchora katuni maarufu nchini Masoud Kipanya ametoa mchoro ambao unaonyesha Basi lenye rangi kama zile za CHADEMA likiwa njiani kuelekea 2020. "point" ya msingi katika katuni hii ni jinsi Kipanya alivyoonesha 2020 kuwa ni MLIMA MKUBWA NA PENGINE USIOPANGIKA KWA CHADEMA. Je huu ni utabiri wa anguko lingine la upinzani 2020
Masoud Kipanya Atabiri Hali Mbaya kwa CHADEMA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Admin