Baba Mzazi wa Lulu Yupo Tayari Kupokea Mahari


Baba yake Lulu ameongea na E-newz na kutufahamisha bado hajapokea mahari ya mwanae na yupo tayari kupokea mahari, hivyo E-news imeamua kuutoa ujumbe huu wa baba Lulu.

Huku wengi wakidhani kuwa ujumbe huo unaweza kumfikia mtu mzima Majey ambaye kwa sasa wapo kwenye mahusiano na Lulu.
Baba Mzazi wa Lulu Yupo Tayari Kupokea Mahari Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Admin