Diamond Platnumz ajizolea tuzo tatu za Channel O

thumbnail
November 29, haitakumbwa kwenye maisha ya Diamond Platnumz na familia yake pekee, bali pia kwenye muziki wa Tanzania na Afrika Mashariki ...